Sehemu ya wapenzi,wakereketwa na wanachama wa klabu ya Simba wakimsikiliza Dalali
| Sehemu ya wapenzi,wakereketwa na wanachama wa klabu ya Simba wakimsikiliza Dalali |
Licha ya hivyo lakini pia inasaidia kuweza kuinua vipaji vya wachezaji wachanga ambao wanaweza kuonekana thamani yao siku zinazokuja kwanimkoa wa Tanga una vipaji vya soka vingi.
Dalali aliyesema hayo juzi akizungumza na wanachama wa Simba katika tawi la Simba Cream la Tanga mjini ambalo lilianzishwa mwaka 2013 nakuzinduliwa na aliyekuwa Rais wa Simba Evans Aveva.
Alisema uanzishwaji wa timu hiyo utakuwa na faida kubwa kwa kusaidia timu hiyo kuwa na hazina ya wachezaji ambao wanaweza kuwatumia kwa miaka ijayo ili kuendelea kuwika kama ilivyokuwa miaka ya nyuma hapa nchini.
“Kwani timu hiyo inapoanzishwa na kuweza kuwa imara itatuwezeshatunapotaka wachezaji tunakuja kuchukua mkoani Tanga kwa sababututakuwa tumewekeza mtaji mkubwa wa vijana”Alisema.
Hata hivyo alisema tawi la Simba la Kinondoni kwa miaka ya nyuma ndioambalo liliwasaidia kuwapelekea mchezaji Uhuru Selemani na baadae yeyekumpeleka kwenye klabu ya Coastal Unon .

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni