.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 25 Februari 2018

MABALOZI TAFUTENI WAWEKEZAJI WA SEKTA YA UTALII-MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Februari 24/2018 ameagana Ofisini kwake Dar es salaam na Mabalozi wanao kwenda kuiwakilisha Tanzania katika nchi walizo pangiwa,kulia ni Balozi anaye kwenda Nchini Sweden.Dr Wilbroad Slaa .na kushoto ni Balozi anayekwenda nchini Nigeria Balozi Muhidin Ally Mboweto.
                      Waziri Mkuu akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wateule
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi anaye kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi ya Sweden Balozi Dr. Wilbrodi Slaa . kushoto kwa Waziri Mkuu ni Balozi anyekwenda Nchini Nigeria Balozi Muhidin Ally Mboweto.Mabalozi hao walifika ofisi kwa Waziri Mkuu Dar es salaam leo Februari 24/2018 kwa ajili ya kumuaga . PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni