.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 23 Februari 2018

WAZIRI MKUU AKUTANA NA RAIS WA FIFA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya Kinyango Rais wa Shirikisho la Mpira Duniani(FIFA)Bwana Gianni Infantino katika mkutano na waandishi wa Habari uliofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu. leo February 22/2017Jijini Dar es salaam Tanzania. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea Bandera ya FIFA kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Mpira Duniani(FIFA)Bwana Gianni Infantino katika mkutano na waandishi wa Habari uliofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu. leo February 22/2017Jijini Dar es salaam Tanzania.PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea Jezi namba Tisa kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Mpira Duniani(FIFA)Bwana Gianni Infantino katika mkutano na waandishi wa Habari uliofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu. leo February 22/2017Jijini Dar es salaam Tanzania. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni