.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 26 Februari 2018

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI MTWARA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, akiwa ameanza ziara yake ya kikazi ya siku tatu, Mkoani Mtwara Februari 26, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi wa jengo la wazazi katika kituo cha afya Chiwale, Wilayani Masasi, akiwa ameanza ziara yake ya kikazi ya siku tatu, Mkoani Mtwara Februari 26, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua wodi ya wazazi katika kituo cha afya Chiwale, mara baada ya kuweka jiwe la msingi kituoni hapo, akiwa katika ziara yake ya kikazi ya siku tatu, Mkoani Mtwara Februari 26, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongea na wananchi wa Chiwale, Wilayani Masasi, mara baada ya kuweka jiwe la msingi la jengo la wazazi katika kituo cha afya Chiwale. Februari 26, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni