.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 20 Februari 2018

WIGAN ATHLETIC YAITUPA NJE YA KOMBE LA FA MANCHESTER CITY

Timu ya Wigan Athletic imemaliza matumaini ya Manchester City kutwaa makombe yote msimu huu kwa kuitoa kwenye michuano ya Kombe la FA kwa ushindi wa goli 1-0.

Timu hiyo ya Ligi Daraja la kwanza iliweza kuhimili mikiki mikiki ya vinara wa Ligi Kuu ya Uingereza ikitumia vyema kutolewa kwa kadi nyekundu ya utata Fabian Delph.

Wigan Athletic ilipata goli pekee katika mchezo huo kupitia kwa Will Grigg zikiwa zimebakia dakika 11 mpira kumalizika.
           Will Grigg akijipinda na kuachia shuti lililoiondoa Manchester City katika Kombe la FA
    Sergio Aguero akitaka kupigana na mashabiki wa Wigan Athletic waliokuwa wakimzomea

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni