.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 20 Februari 2018

ZIARA YA MAJALIWA ILEMELA NA NYAMAGANA. MKOANI MWANZA

Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Ilemela na Nyamagana wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza Februari 20, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Nyamagana na Ilemela kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza Februari 20, 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha mabati cha Dragon kilichopo Nyamagana jijini Mwanza Februari 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi kadi ya matibabu ya bure kwa wazee, Robert Chenge Manyenye kwenye Zahanati ya Bulale wilayani Nyamagana Februari 19, 2018. Katikati ni Mkuu wa wilaya ya Nyamagana, Mary Tesha.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana ni viongozi wa dini baada ya kutoa vitambulisho vya matibabu ya bure kwa wazee katika zahanati ya Bulale wilayani Nyamgana Februari 20, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu utengenezaji wa mabomba ya maji kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Mwanza Plastics, Joel Makanyaga (kushoto) wakati alipotembelea kiwanda hicho jijini Mwanza Februari 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea mabomba ya maji yenye urefu wa kilomita tano kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Mwanza Plastics, Joel Makanyaga wakati alipotembelea kiwanda hicho jijini Mwanza , Februari 20, 2018. Kulia ni Mbunge wa Ilemela na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina mabulla. Mabomba hayo yatatumika kupeleka maji katika Kituo cha Afya cha Karume kilichopo kata ya Bugogwa wilayani Ilemela.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni