Jumamosi, 17 Februari 2018
ZIARA YA MAJALIWA WILAYANI KWIMBA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka ndani ya pantoni ya MV Kigongo baada ya kuvuka ziwa Victoria akitoka Sengerema kwenda Kwimba Februari 16, 2018. Watatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongell. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkluu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimtwika ndoo ya maji, Esther Balele baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa kijiji cha Igumambogo wilayani Kwimba Februari 16, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimtwika ndoo ya maji , Scolastica Odiria baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa kijiji cha Igumambogo wilayani Kwimba Februari 16, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la pamba katika kijiji cha Igumambogo wilayani Kwimba akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza Februari 16, 2018. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Kwimba wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo katika mji mdogo wa Ngudu Februari 16, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo katika mji mdogo wa Ngudu, Februari 16, 2018. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza, Dkt. Anthony Diallo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni