Katika ziara hiyo Naibu Waziri aliongea na wananchi, pia kutambulisha wakandarasi wa miradi ambapo aliwaagiza wakandarasi waepuke kurudia makosa yaliyojitokeza awali na kuhakikisha wanakamilisha kazi ndani ya muda uliopangwa.
Pia Katika ziara hiyo Mh. Naibu waziri alitembelea bwawa la kuzalisha umeme la Nyumba ya Mungu kujionea shughuli za uzalishaji.
Mh Naibu waziri amemaliza ziara yake 26/01/2018 saa 12:00 jioni na kuelekea mkoani TANGA. RCRO KILIMANJARO.



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni