Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa michezo uliopo karibu na Kituo cha Afya cha kata ya Igogwa wilayani Ilemela, Februari 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Faustine Ndugulile baada ya kuwasili kwenye Kituo cha Afya cha Karume katika Kata ya Bugogwa wilayani Ilemela kuweka jiwe la Msingi la kituo hicho, Februari 20, 2018. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Ilemela, Angelina Mabulla wakati alipowasili kwenye Kituo cha Afya cha Karume katika Kata ya Igogwa wilayani Ilemela Februari 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipokagua Kituo cha Afya cha Karume katika Kata ya Igogwa wilayani Ilemela Februari 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja wa michezo kuhutubia mkutano wa hadhara Katika Kata ya Bugogwa wilayani Ilemela Februari 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mpiga filimbi maarufu wa kikundi cha Pansiasi Culture wilayani Ilemela, Bauwa Constantine akipiga filimbi wakati kikundi hicho kilipotumbuiza katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Kata ya Igogwa wilayani Ilemela, Februari 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wananchi wa Kata ya Igogwa wilayani Ilemela wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia karibu na Kituo cha Afya cha Karume, Februari 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Baadhi ya wananchi wa Kata ya Igogwa wilayani Ilemela wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia karibu na Kituo cha Afya cha Karume, Februari 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa jiji la Mwanza baada ya kuwasili kwenye hospitali ya Sekou Toure kuzindua kliniki ya Methadone kwa ajili ya waathirika wa dawa za kulevya, Februari 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Kamishina Jenerali wa mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Siyanga wakati alipozindua kliniki ya Methadone kwa ajili ya waathirika wa dawa za kulevya kwenye hospitali ya Sekou Toure jijini Mwanza Februari 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Baadhi ya waathirika wa dawa za kulevya wanaohudumia na Kliniki ya Methadone iliyopo katika hospitali ya Sekou Toure jijini Mwanza, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kuzindua kliniki hiyo, Februari 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya waathirika wa dawa za kulevya wanaohudumia na Kliniki ya Methadone iliyopo katika hospitali ya Sekou Toure jijini Mwanza, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kuzindua kliniki hiyo, Februari 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua Muongozo wa Uendeshaji wa Nyumba za Waathirika wa Dawa za Kulevya (Sober House) kwenye hospitali ya Sekou Toure jijini Mwanza, Februari 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni