MsemajiMkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbas (wa kwanza Kulia) na Mwenyekiti wa MISA Tanzania Bi. Salome Kitomari (wa kwanza kushoto) pamoja na wadau mbalimbali ambao hawapo pichani wakipata maelezo kuhusiana na Tovuti ya MISA Tanzania kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa MISA Tanzania Bw. Gasirigwa Sengiyumva ambaye hayupo pichani.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa MISA Tanzania Bw. Gasirigwa Sengiyumva(kulia) kulia akiendelea kutoa maelezo mbali mbali na vitu ambavyo vinapatikana katika Tovuti ya MISA Tanzania Picha ya pamoja baada ya uzinduzi wa Tovuti ya MISA Tanzania Jijini Arusha.
TOVUTI INAPATIKANA HAPA
www.tanzania.misa.org
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni