Mshambuliaji Muingereza Danny
Welbeck alifunga magoli mawili huku naye Granit Xhaka akifunga kwa
shuti kali la mbali na kushinda kwa magoli 3-1.
Hakan Calhanoglu alifunga goli la
kwanza katika mchezo huo na kuifanya AC Milan kuongoza kupata goli,
lakii wakajikuta wakitolewa kwa jumla ya magoli 5-1.
Kipa wa AC Milan akiangalia mpira uliotinga wavuni baada ya Granit Xhaka kuachia shuti kali
Danny
Welbeck akifunga goli lake la pili kwa mpira wa kichwa na kufanya matokeo kuwa 3-1



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni