Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia
Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) Bw. Li Yong mara baada ya kuwasili
kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar
es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia
Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) Bw. Li Yong kwenye Kituo cha Kimataifa
cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi
ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya
pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa
linaloshughulikia Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) Bw. Li Yong mara
baada ya kumaliza mazungumzo kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano
cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa
Rais)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni