Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati akitolea ufafanuzi baadhi ya hoja zilizowasilishwa katika taarifa hiyo ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson mara baada ya kupokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad akisoma muhtasari wa muhtasari wa Taarifa yake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson akizungumza mara baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad kuwasilisha taarifa yake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya bunge ya Bajeti Hawa Ghasia akizungumza mara baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad kuwasilisha taarifa yake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza mara baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad kuwasilisha taarifa yake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma akizungumza mara baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad kuwasilisha taarifa yake Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kupokea Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG Ikulu jijini Dar es Salaam.


















Hakuna maoni :
Chapisha Maoni