.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 18 Machi 2018

TOTTENHAM YATINGA NUSU FAINALI FA


Katika mchezo mwingine wa FA Christian Eriksen amefunga magoli mawili wakati Tottenham wakitinga nusu fainali ya Kombe la FA kwa kuifunga Swansea City magoli 3-0.

Magoli mazuri yaliyofungwa na Eriksen na Erik Lamela katika kipindi cha kwanza yaliifanya Spurs kukaa vyema katika mbio za kutwa kombe hilo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni