Jumatano, 21 Machi 2018
WAZIRI MKUU AMUWAKLISHA RAIS JOHN MAGUFULI KATIKA MKUTANO WA AU RWANDA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa niaba ya Rais John Pombe Magufuli leo March/21/2018 amesaini mkataba wa Makubaliano ya kulifanya Bara la Afrika Kuwa eneo huru la Biashara . Utiaji saini huo umefanyika Jijini Kigali Rwanda. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni