Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tabora Kaskazini, Almasi Maige kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Machi 28, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Profesa Bonaventure Rutinwa ambaye ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam - Taaluma (Deputy Vice Chancellor- Academic) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Machi 28, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kuteuliwa, Janet Masaburi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Machi 28, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni