.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 13 Machi 2018

WAZIRI WA HABARI ,SANAA,UTAMADUNI NA MICHEZO ,DKT HARSON MWAKYEMBE AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA MAAFISA MAWASILIANO WA SERIKALI JIJINI ARUSHA.

Waziri wa Habari,Sanaa,Utamduni na Michezo Dkt Harson Mwakyembe akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 14 wa Chama cha maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) unaofanyika kwa siku tano jijini Arusha.
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa 14 wa Chama cha maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kinachotajwa kama Kikao kazi wakifuatilia kwa karibu Hotuba mbalimbali zilizotolewa wakati wa Ufunguzi wa mkutano huo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ,Sanaa,Utamaduni na Michezo ,Susan Mlawi akizungumza wakati wa mkutano huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali ,Dkt Hassan Abbas akizungumza katika mkutano hu unaofanyika katika Ukumbi wa mikuano ya Kimataifa (AICC) jijini Arusha.
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa 14 wa Chama cha maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kinachotajwa kama Kikao kazi wakifuatilia kwa karibu Hotuba mbalimbali zilizotolewa wakati wa Ufunguzi wa mkutano huo
Mwenyekiti wa Chama cha maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) ,Pascal Shelutete akitoa taarifa ya TAGCO kwa washiriki wa Mkutano huo

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ,Hudson Kamoga akifuatilia hotuba zilizotolewa wakati wa mkutano huo.
Katika Mkutano huo pia kumetolewa Vyeti kwa Wadau walioshiriki katika kufanikisha mkutano huo
Mmoja wa Wadau waliosaidia katika kufanikisha mkutano huo akipokea cheti kutoka kwa Waziri wa Habari,Sanaa,Utamaduni na Michezo ,Dkt Harson Mwakyembe.

Washiriki wa Mkutano huo wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni rasmi,Dkt Harson Mwakyembe ,Waziri wa Habari,Sanaa ,Utamaduni na Michezo .
                                   Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini .

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni