.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 9 Aprili 2018

MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA MAKAMPUNI YA CCECC NA UJUMBE WAKE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na ujumbe kutoka Makampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) kutoka Tanzania, Afrika Mashariki na China, ofisini kwake mjini Dodoma Aprili 8, 2018. Kushoto kwa Waziri Mkuu ni Rais wa Makampuni ya CCECC, Bw. Zhao Dianlong na kulia kwa Waziri Mkuu ni Katibu Mkuu wa Chama cha Urafiki kati ya Tanzania na China, Joseph Kahama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Makampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) , Bw. Zhao Dianlong wakati alipozungumza na ujumbe wa Makampuni hayo kutoka Tanzania, Afrika Mashariki na China, ofisini kwake mjini Dodoma Aprili 8, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni