.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 10 Aprili 2018

RAIS MAGUFULI ATEKELEZA AHADI YA MIFUKO 300 YA SARUJI KWA KANISA

Katibu Tawala wa mkoa wa ARUSHA,Richard Kwitega kushoto akimkabidhi Paroko msaidizi wa Kanisa Katoliki jimbo kuu la Arusha ,Padri Festus Mangwangi saruji mifuko 300 kwa niaba ya Rais ikiwa ni ahadi aliyoitoa katika Kanisa Katoliki jimbo Kuu la Arusha wakati wa misa ya kumsimika Askofu Mkuu wa Kanisa hilo ISAAC AMANI
                                                                                               Na Woinde Shizza,Arusha

Rais Dkt JOHN MAGUFULI ametoa mifuko ya saruji 300 ikiwa ni ahadi aliyoitoa katika Kanisa Katoliki jimbo Kuu la ARUSHA wakati wa misa ya kumsimika Askofu mkuu wa kanisa hilo ASAAC AMANI.

Katibu Tawala wa mkoa wa ARUSHA,RICHARD KWITEGA akitoa saruji hiyo kwa niaba ya Rais kwa uongozi wa kanisa,amesema mifuko hiyo ni ahadi ya Rais ya kuchangia ujenzi wa kanisa unaoendelea kando ya kanisa lililopo hivi sasa.

Mifuko ya saruji ambayo imetolewa na Rais Dkt JOHN MAGUFULI aliyoiahidi wakati wa misa ya kumsimika Askofu mkuu wa Kansa Katoli jimbo kuu la ARUSHA.


Katibu Tawala wa mkoa wa ARUSHA,RICHARD KWITEGA ndiye aliyekabidhi msaada huo kwa niaba ya Rais Dk JOHN MAFUGULI,ambaye amesema mifuko hiyo itasaidia ujenzi wa kanisa hilo jipya.

Kwa upande wake Katibu msaidizi wa Kamati ya ujenzi wa kanisa,DANIEL LAIZA,amemshukuru Rais kwakutekeleza ahadi yake kwa wakati hivyo watatumia kwa matumizi yaliyokusudiwa.

Paroko msaiidizi wa Kanisa Katoliki jimbo kuu la ARUSHA,Padri FESTUS MANGWANGI,amesema uujenzi huo wa kanisa utakamilika kutokana na misaada inayotolewa huku

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni