.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 9 Aprili 2018

WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Mbunge wa kuleuliwa, Salma Kikwete, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Suleiman Jaffo, akizungumza na Waziri wa Madini, Angela Kairuki, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi, Joseph Kakunda, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Mbunge wa kuteuliwa, Salma Kikwete, kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Sophia Mwakagenda, kwenye jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma Aprili 10, 2018, katikati ni Mbunge wa jimbo la Tarime Bw. John Heche. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Tarime Bw. John Heche, kwenye jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma Aprili 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni