Makamu wa Rais Dk.
Mohammed Gharib Bilal (kulia) akimkabidhi cheti Naibu Mkurugenzi Mtendaji-Huduma
Shirikishi wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka kutokana na mchango wa benki hiyo
katika kufanikisha sherehe za utoaji wa Tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka (EYA
2013), ambapo benki hiyo ilikuwa moja ya wadhamini katika hafla hiyo iliyofanyika
jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni