Mamia ya mashabiki na waombolezaji walijitokeza kwa wingi hapo jana jumapili katika eneo la Valencia California ambalo mwigizaji maarufu wa picha ya Fast and Furious, Paul Walker na rafiki yake Roger Rodas walifariki dunia baada ya gari kupoteza mwelekeo na kugonga nguzo kisha kulipuka
Mashada ya maua yakiwa yamewekwa hapo jana jumapili Dec 08'2013 katika eneo ilipotokea ajali hiyo wiki iliyopita
Paul Walker akiwa na binti yake Meadow mwenye miaka 15 kulia wakitembea mtaani huku wakila ice cream wakati wa uhai wake
Paul Walker enzi za uhaio wake akiwa na rafiki zake Ronn Shikari katikati na Vinnce Krause walipokuwa wakizungumza ni jinsi gani Walker anavyotaka kustaafu kucheza sinema na kupata muda wa kuwa karibu na binti yake Meadow
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni