Mke wa zamani wa Mandela, Winnie Madikizela-Mandela akiwa na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma katika ibada ya kumuombea Nelson Mandela iliyofanyika jana
Winnie Madikizela-Mandela akiwa katika maombi ya kumuombea mume wake wa zamani Nelson Mandela katika Kanisa la Bryanston Methodist hapo jana
Mke wa zamani wa Nelson Mandela na Rais wa kwanza mweusi nchini Afrika Kusini, Winnie Madikizela-Mandela kushoto, Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma aliyembeba mtoto wakiwa na mjukuu wa Mandela kulia wakifurahia jambo wakati wa ibada hapo jana
Mjukuu wa Mandela, Mandla Mandela kushoto akiongea jambo na muumini mmoja hapo jana wakati wa misa maalum ya kumuombea babu yake
Mtoto akishika mshumaa wakati wa misa maalum ya kumuombea Nelson Mandela iliyofanyika jana huko Johannesburg Afrika Kusini
Ibada ikiendelea ndani ya Kanisa katika misa ya kumuombea Nelson Mandela
Wananchi mbalimbali walifika nyumbani kwa Nelson Mandela na kuweka mashada ya maua kama ishara muhimu ya kumuenzi kipenzi chao Nelson Mandela
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni