Rais Kikwete akisindikizwa kuelekea kwenye gari baada ya kuwasili uwanja
wa ndege wa Waterkloof Airforce Base ulioko Kusini mwa jiji la Pretoria
. Nyuma yake mwenye ushungi kichwani ni Mama Salma Kikwete
Jumanne, 10 Desemba 2013
RAIS KIKWETE AWASILI AFRIKA KUSINI KUHUDHURIA MAZIKO YA MZEE NELSON MADELA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa katika uwanja wa ndege wa
Waterkloof Airforce Base ulioko Kusini mwa jiji la Pretoria alikowasili
usiku wa kuamkia leo tayari kuhudhuria mazishi ya Rais Mstaafu wa Afrika
Kusini Mzee Nelson R. Mandela
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni