Wanahabari wakiwapungia mikono wananchi walipokuwa wakiondoka kwa treni
ya Tazara,Makambao kurejea Dar baada ya ziara ndefu ya Komredi Kinana
katika mikoa minne. ambapo wametumia siku 26 na Kinana kuhutubia
mikutano zaidi ya 100.
Mmiliki
wa Matukio Blogu, Kamanda Richard Mwaikenda (kushoto) akiwa na Afisa wa CCM
Makao Makuu, ambaye pia ni mmiliki wa Blogu ya The Nkoromo wakiwa
ndani ya chumba cha Treni ya Tazara wakisafiri kutoka Makambako kwenda
Dar.
Wanahabari
waliokuwa kwenye msafara wa Komredi Kinana wakiwa katika picha ya
pamoja baada ya kuwasili Stesheni ya Tazara, Dar es Salaam leo
asubuhi.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni