.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 29 Januari 2014

MAMLAKA YA PALESTINA YAFUNGISHA NDOA ZA PAMOJA KWA WANANDOA 300

Mamlaka ya Palestina imeendesha hafla ya sherehe za ndoa za kufungwa pamoja kwa wanandoa 300 katika Ukanda wa Magharibi wa Gaza.

Rais wa Palestina Mahmoud Abbas amehudhuria sherehe ya kufungisha ndoa za pamoja kwa wanandoa 218 katika Mji wa Jericho. Ndoa zingine za pamoja kwa wanandoa 80 zimefanyika eneo la Gaza.

Rais Abbas amesema mamlaka ya Palestina imetumia kiasi cha dola milioni 1.5 kugharamia ndoa hizo ikiwemo zawadi ya dola 4,000 kwa kila mwanandoa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni