Ligi kuu ya Hispania " La Liga " jana ikuwa siku mbaya kwa timu ya Fc Barcelona baada ya vijana hao wanaosifia kwa kutandaza safi kujikuta wakichapwa mabao 3-1 na Real Sociedad. Mabao ya Sociedad yaliwekwa kimiani na wachezaji Carlos Vela, Antoine Griezmann na Gorca Elustondo, huku lile la kufutia machozi la Barcelona likifungwa na Lionel Messi
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni