Jumapili, 23 Februari 2014
RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA MAABARA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akifungua Mkutano wa Maabara za Utalii,Mazingira Bora ya Biashara na Upatikanaji wa Rasilimali fedha,katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo,(kulia) Waziri,Ofisi ya Rais na Utawala Bora,DK.Mwinyihaji Makame Mwadini na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahya Mzee,(kshoto). [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akifungua Mkutano wa Maabara za Utalii,Mazingira Bora ya Biashara na Upatikanaji wa Rasilimali fedha,katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni