Jumapili, 23 Februari 2014
LIGI KUU UINGEREZA, MANCHESTER UNITED YAZINDUKA NA KUICHAPA CRYSTAL PALACE 2-0
Manchester United jana walizinduka na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Crystal Palace katika mchezo wa ligi kuu Uingereza. Katika mchezo huo ambao Palace walikuwa nyumbani, walijikuta hawana ubavu wa kuwazuia Ron Van Persie na Rooney kuifungia Man U mabao hayo ambayo yameisaidia kutoka nafasi ya 7 na kuruka hadi nafasi 6
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni