Raha ya kufunga ni kushangilia!! Wachezaji wa Chelsea wakimpongeza John Terry baada ya kufunga bao muhimu na kuzoa point zote tatu jana dhidi ya Everton
Kizazaa zaa langoni mwa Everton
Frank Lampard akishangilia na John Terry
Huko huko kula tano Terry!! Kocha wa Chelsea Jose Mourinho akifurahia bao la ushindi.
Chelsea jana aliendelea kujiimarisha katika msimamo wa ligi kuu Uingereza baada ya kuifunga Everton bao 1-0 katika mchezo ambao ulikuwa na upinzani mkali na kuwafanya Chelsea kusubiri hadi dakika za majeruhi ndipo wapate bao hilo la ushindi. Kwa matokeo hayo, Chelsea wanaendelea kukaa kileleni
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni