Mmoja wa Wajumbe
wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Ruth Meena akisititiza jambo wakati wa mjadala mjini Dodoma uliandaliwa na Tanzania Women
Cross Party Platform kwa lengo la kuwaelimisha wanawake wajumbe juu ya kutetea
haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni