Mwanamuziki mahiri Rihanna jana ijumaa alisherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kucheza mchezo wa kuteleza kwenye barafu akiwa Aspen, Colorado. Mwanamuziki huyo jana ijumaa alitimiaza umri wa miaka 26
Rihanna akijaribu kuteleza kwenye barafu kabla hajaanguka ( picha chini )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni