Kiongozi wa upinzani nchini Ukraine Vital Klitschko amemtaka Rais wa nchi hiyo Victor Yanukovich akubali kuachia madaraka sasa "ajiuzulu" licha ya makubaliano ya kuitisha uchaguzi mkuu wa nchi hiyo na kuunda serikali itakayokuwa na sura ya umoja wa kitaifa.
Wapinzani wanataka uchaguzi uwe umefanyika mpaka kufikia tarehe 25 mwezi wa 5 na sio mwishoni wa December
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni