Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro amemtaka rais wa Marekani Barack Obama kukutana nae kwa mazungumzo ambayo yatamaliza tofauti kubwa iliyopo sasa kati ya nchi hizo mbili.
Maduro amesema mkutano huo utasaidia kuuwekwa ukweli hadharani na kumaliza tofauti kabisa.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni