Mkuu
wa Mawasilano, Promosheni na Uhamasishaji wa Mfuko wa udhibiti wa mifuko ya hifadhi ya jamii nchini (SSRA), Sarah Kibonde akiwaelezea wasanii kuhusiana na mifuko
mbalimbali ya hifadhi ya jamii kama NSSF,PSPF ,LAPF,GEPF,PPF,NHIF juu
ya faida pale wapofikia muda wakustaafu kazi kisanii au kupatwa na
matatizo mbalimbali (katika), Mwanasheria COSOTA Bw,Zephania Lyamuya
(kusho), Kaimu Afsa Kumbumbuku COSOTA Bw Philemon Kilaka.
Afsa
Mwandamizi wa Huduma kwa Mlipa Kodi TRA, Msafi Mbibo akiwaelezea
wasanii mwongozo wa utumiaji mashine maalumu za kodi za kielekitroniki
(EFDs), wakati wa semina ya hatimiki kwa sanii mbalimbali wa bongo movie
pamoja na muziki,
Kaimu Afsa Kumbumbuku COSOTA Bw Philemon Kilaka.akiwaezea wasanii jinsi hakimiliki na mikataba katika kazi za sanaa.
Afisa
wa Mfuko wa Penseni (PSPF), Haji Jamadary nae akiwaelezea wasanii
kuhusiana na uchangiaji katika mpango wa hiyari wakati wa kutegemea
upatikanaji wa kipato cha ziada kwa ajiliya akiba. Mwenyeki
wa Bongo Movie, Steven Mengeze akiwasisitiza wasanii wenzake kuhudhuria
kwenye semina pamoja na kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii na
namna ya kufuatilia upatikanaji wa haki za kazi zao za sanaa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni