Tanzania imetajwa kuwa ni nchi
inayoongoza kwa kuzalisha mamilionea wanaomiliki dola ya Marekani kwa
haraka kuliko nchi nyingine yoyote ya Afrika Mashariki.
Kwa mujibu wa Kitabu cha Utajiri wa
Afrika kwa mwaka 2013, mamilionea wapya wanatarajiwa kuibuka Tanzania
kuliko Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi.
Wakati mwaka 2007 Tanzania ilikuwa
na mamilionea 3,700, idadi hiyo imeongezeka na kufikia 5,600 hadi
kufikia mwaka 2013.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni