Mmoja kati ya Makamu wa Rais wawili wa
Afghanistan, Marshal Mohammad Qasim Fahim, amefariki dunia kifo cha
kawadida akiwa na umri wa miaka 57.
Serikali ya Afghanistan imetangaza siku
tatu za maombolezo kufuatia kifo hicho ambapo pia bendera
zote zitapeperushwa nusu mlingoni.
Marshal Fahim alikuwa ni kiongozi wa
kabila dogo la Tajik, ambaye pia aliwahi kubwa mbabe wa vita.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni