.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 9 Machi 2014

LEBRON JAMES ALAUMU JEZI MPYA BAADA YA MIAMI HEAT KULALA DHIDI YA SAN ANTONIO SPURS

Nyota wa Miami Heat LeBron James maarufu kama King James ametoa kali pale aliposema kutocheza kwake vizuri katika mchezo wa kikapu waliopoteza dhidi ya San Antonio Spurs kulichangiwa na jezi mpya za mikono mifupi zilizopendekezwa kwenye Ligi ya NBA.

James alifanikiwa kutumbukiza mpira mara sita kati ya 18 aliyojaribu kutikisa nyavu za kikapu wakati Heat ifungwa111-87. Baada ya mchezo huo James alinukuliwa akisema sitafuti sababu lakini mimi si mpenzi wa jezi hizi mpya.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni