.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 9 Machi 2014

MKE WA RAIS WA KENYA AKIMBIA MBIO ZA MARATHONI ZA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA ZA WAJAWAZITO

Mke wa Rais wa Kenya Mama Margaret Kenyatta leo asubuhi amekimbia katika uzinduzi wa mbio za Marathoni za Mke wa Rais, zenye lengo la kuboresha huduma za afya kwa wakinamama wajawazito nchini Kenya.

Mbio hizo zilizofanyika Jijini Nairobi ni sehemu ya kampeni yake ya “Beyond Zero” iliyoianzisha kwa ajili ya kununulia kliniki zenye kutembea ili ziweze kutoa huduma bora za kujifungua na kabla ya kujifungua kwa wajawazito nchini Kenya.

Kwa mujibu wa Benki ya Dunia, katika Kenya wanawake 360 hufa wakati wa kujifungua kati ya wanawake 100,000.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni