.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 7 Machi 2014

UJUMBE WA EU AIB WAMTEMBELEA WAZIRI WA MAJI LEO

Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na Makamu Rais wa EIB, Pim  van Ballekom.
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na wageni kutoka EU EIB

Ujumbe kutoka Umoja wa Ulaya kupitia European Investment Bank (EIB) wiki hii umetembelea Wizara ya Maji na kukutana na Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe ofisini kwake.

Ujumbe huu uliongozwa na Makamu Rais wa EIB, Pim van Ballekom kutoka Luxembourg akifuatana na wawakilishi wengine Richard Willis, Catherine Colllin, Cristian Mejia-Garcia na Anne Claire Dauvier, Adam Grodzicki.

EIB inatoa msaada kwa miradi ya Sekta ya Maji nchini katika kufanikisha utekelezaji wa miradi hiyo ambayo inaendelea hapa nchini ikiwemo katika miji ya Mwanza, Bukoba na Musoma.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni