.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 26 Mei 2014

BALOZI KAMALA AWEKA SAHIHI HATI YA MAPOKEZI YA HAINAUT

















Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiweka sahihi Hati ya Mapokezi ya Hainaut huku Gavana wa Hainaut Mhe. Tommy Luclercq akishuhudia. 


Mhe. Luclercq alimshukuru Balozi Kamala kwa kuandaa ziara ya wadau wa reli na bandari kutoka Tanzania waliotembelea Ubelgiji. 

Alibainisha kwamba angependa kuona ushirikiano wa Tanzania na Ubelgiji ukiimarika siku hadi siku.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni