Mchezaji tenesi Roger Federer amemzidi
mbinu Lukas Lacko na kujipatia ushindi mwepesi katika mzunguko wa
kwanza wa michuano huko Roland Garros.
Mshindi huyo mara 17 wa Grand Slam,
aliibuka na ushindi huo kiulaini kwa kumfunga Lacko kwa seti 6-2 6-4
6-2.
Naye mchezaji namba moja wa tenesi kwa
wanawake Serena Williams ameanza kutetea taji lake katika michuano
hiyo kwa seti 6-2 6-1 dhini ya Mfaransa Alize Lim.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni