Watu 5 wamefariki dunia baada ya bomu kulipuka huko kaskazini mwa mji wa Kano nchini Nigeria, polisi wamethibitisha.
Mlipuko huo umetokea katika eneo lenye bar nyingi na vilabu vya usiku.
Mashuhuda wamesema mlipuko huo wa bomu ulitokea katika gari eneo la Sabon Gari lenye wakristu wengi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni