HARUSI YA KIM KARDASHIAN NA KANYE WEST YAELEZWA HAIJAPATA KUTOKEA
Picha mbalimbali zinazoonyesha matukio ya harusi ya Kim Kardashian na Kanye West iliyofungwa jumamosi iliyopita May 24' 2014 huko Forte Di Belvedere mjini Florence nchini Italia zimeanza kutolewa na E Channel.
Maharusi, Kim Kardashian na Kanye West wakiingia ukumbini kuungana na waalikwa mbalimbali.
Gauni la bibi harusi Kim Kardashian linavyoonekana kwa nyuma
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni