.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 21 Mei 2014

HOSNI MUBARAK AHUKUMIA KIFUNGO CHA MIAKA MITATU GEREZANI

Mahakama nchini Misri, imemuhukumu kifungo cha miaka mitatu jela aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Hosni Mubarak kwa kuiba mali za umma. 

Watoto wake wawili, Alaa na Gamal pia wametiwa hatiani na mahakama hiyo na kuhukumiwa vifungo vya miaka minne jela. 

Mubarak mwenye miaka 86 aliyeitawala Misri kwa miaka 30 kabla ya kuondolewa madarakani mwaka 2011, pia alipatikana na makosa ya kutumia vibaya madaraka yake na kutumia nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji waliokuwa wakimpinga,ambapo wengi wao walipoteza maisha baada ya kupambana na jeshi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni