Timu ya Wanariadha Wanaume ya
Jamaica imeweka rekodi ya dunia ya mbio za kupokezani vijiti za mita
200 mara 4 katika ufunguzi wa mbio za Kimataifa za kupokezana kijiti
za IAAF, huko Nissau Bahama.
Wakati Usain Bolt akiponya jeraha
lake la mguu, Yohan Blake aliiongoza timu ya wanariadha hao wanne
kumaliza mbio hizo kwa muda wa 1:18:63 na kuvunja rekodi ya
sekunde 0.05.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni