Manchester United haito jaribu
kumsaka kiungo wa Barcelona, Cesc Fabregas, mwaka mmoja tu kupita
tangu washindwe kumpata mchezaji huyo Mhispania.
Fabregas, inasemekana anataka
kurejea katika Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kutofanya vyema na kabu
yake hiyo ya nyumani, hata hivyo wakati timu yake ya zamani ya
Arsenal, ikifuatilia maendeleo yake kocha mpya wa Manchester Unite
Louis van Gaal amesema hana mpango nae.
Mwaka jana Fabregas alikuwa
akiwaniwa na kocha wa Manchester United aliyetimuliwa David Moyes
hata hivyo baada ya mazungumzo ya wiki moja na kutenga kitita cha
paundi milioni 30 mchezaji huyo aliamua kubakia Barcelona.
Kocha mpya wa Manchester Unite
Louis van Gaal
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni