NYUSO ZA FURAHA. Kim Kardashian na mumewe mtarajiwa Kanye West wakiwakaribisha wageni waalikwa katika chakula cha usiku jana ijumaa, ikiwa ni siku moja kabla ya kufunga pingu za maisha hii leo May 24' 2014. Harusi hiyo itafungwa Florence, Italia.
Kim Kardashian ( katikati ) akiwa katika picha ya pamoja na familia yake.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni