.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 20 Mei 2014

KATIBU MKUU WA CCM, ABDULRAHMAN KINANA AWASILI MKOANI SINGIDA NA KUPOKELEWA KWA SHANGWE


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifukia mti mara baada ya kupanda mti katika shule ya sekondari ya Mgandu leo.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua bwawa la umwagiliani katika kijiji cha Igala Itigi mkoani Singida.
 

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wakati alipowasili katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Relini mjini Itigi mkoani Singida leo.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kushoto na Mbunge wa jimbo la Manyoni Magharibi Mh. Paul Lwanji wakinyanyua bati juu kuwapatia mafundi wanaojenga madarasa katika shule ya sekondari ya Mgandu wakati Katibu mkuu huyo alipokagua ujenzi wa madarasa katika shule hiyo ikiwa ni ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kwa pamoja na wananchi. 

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Mh. Mgana Msindai akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara mjini Itigia mkoani Singida.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni