WADAU WA BANDARI NA RELI WA TANZANIA NA UBELGIJI WATEMBELEA KAMPUNI YA ALSTOM YA UBELGIJI
Wadau wa Bandari na Reli wa Tanzania na Ubelgiji wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutembelea kampuni ya Alstom ya Ubelgiji. Kampuni ya Alstom inatoa huduma ya teknolojia ya kisasa ya kuongoza na kuendesha gari moshi kwa kutumia mtandao wa kompyuta.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni